mshambuliaji wa Barcelona na timu ya taifa ya chile Alexis sanchez amesajiliwa na klabu ya arsenal ya england kwa ada ya uhamisho paundi milioni 30 na kusaini mkataba wa miaka minne na atalipwa paundi 140,000 kwa wiki hivyo atakua sawa na ozil anaelipwa kiasi hicho cha mshahara, baada ya kusaini mkataba huo Sanchez alisema "nafurahi kujiunga na arsenal timu yenye kikosi bora,sapoti kubwa duniani na uwanja mzuri jijini london" naye kocha wa arsenal arsene wenger amesema sanchez ataongeza ubora na ubunifu kwenye kikosi chao lakini pia Barcelona ilisema inamshukuru Sanchez kwa mchango wake na inamtakia kila la heri.
No comments:
Post a Comment