Klabu ya soka ya Liverpool ya nchini england imemsajili mchezaji raia wa serbia Lazar marckovic kwa dau la pauni milioni 20 mchezaji huyo aliyetokea benfica ya ureno aliisaidia timu hiyo kuchukua ubingwa wa ligi kuu ya nchi hiyo msimu uliopita na kwa sasa anakamilisha idadi ya wachezaji wanne waliosajiliwa na Liverpool kwa ajili ya msimu ujao wengine wakiwa ni Adam lallana,Rickie Lambert wakitokea southampton pamoja na Emre can aliyetokea Bayer leverkusen, "nimefurahi kujiunga na klabu kubwa kama hii" alisema marckovic baada ya kukamilisha usajili wake.
No comments:
Post a Comment