mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara Azam FC wametupilia mbali mpango wa kumsajili kiungo aliyetemwa na yanga athumani idd chuji hii ni kutokana na viongozi wenye ushawishi ndani ya klabu hiyo kutoridhishwa na mwenendo wa nidhamu ya mchezaji huyo. :picha kwa hisani ya binzubery
No comments:
Post a Comment