baada ya kuachia video ya wimbo wake mpya uitwao mdogo mdogo msanii wa kizazi kipya naseeb abdul a.k.a diamond Platnum amefunguka ndani ya kipindi cha XXL kinachorushwa na clouds fm kwamba aliyekuwa msanii na mongozaji(director) wa filamu nchini Adam Philip Kuambiana aliyefariki mei 17 mwaka 2014 ndiye aliyempa muongozo(script) ya video hiyo, diamond alisema alikutana na marehemu kuambiana location alipokua anashoot filamu na mpenz wake wema sepetu ambae ndie aliyemshawishi diamond amfate kuambiana ampe script ya video kwa sababu jamaa alikua vizuri sana katika ishu hizo ndipo Platnum bila kusita akamfuata kuambiana nae hakumfanyia ajizi wakaenda THT kwenye studio za ngoma records chini ya producer tudd thomas kuambiana akaisikiliza ngoma akatoa script.Video sasa iko hewani na imetengenezwa nchini south africa chini ya kampuni ya GOD FATHER.
No comments:
Post a Comment