michuano ya kombe la dunia inatarajiwa kuendelea leo nchini Brazil ambapo kutakua na mtanange mmoja wa nusu fainali utakaozikutanisha timu za Brazil na ujerumani lakini itakua ni majanga kwa Brazil kwan itawakosa nyota wake neymar(majeruhi) David Luiz(ana kadi mbili za njano) thiago silva(ana kadi mbili za njano)
No comments:
Post a Comment