Tuesday, July 8, 2014

RUKSA:DAVID LUIZ ARUHUSIWA KUCHEZA DHIDI YA UJERUMANI

hatimaye beki mahiri wa brazil David luiz ameruhusiwa kucheza mchezo wa nusu fainali dhidi ya ujeruman pia yeye ndiye atakaekuwa nahodha kutokana na kutokuwepo kwa thiago silva na ameahidi kuwaongoza vema wenzake ili wapate ushindi na hatimaye wacheze fainali


No comments:

Post a Comment