Baada kuonyesha kiwango kibovu kwenye kombe la dunia mshambuliaji wa timu ya taifa ya brazil mwenye miaka 30 FRED amestaafu kuichezea timu hiyo baada ya mashabiki wa timu hiyo kutoridhishwa na kiwango chake jambo lililopelekea kuzomewa mara kwa mara kwenye michuano ya kombe la dunia hususani kwenye mechi ya Brazil dhidi ya ujerumani ambapo Brazil ilifungwa mabao 7-1 mpaka anaastaafu FRED ameichezea timu hiyo mechi 39.
No comments:
Post a Comment