Gareth Barry amesaini mkataba wa miaka mitatu kuichezea klabu ya Everton akitokea Manchester city :picha ya juu ikimwonesha Barry akiwa ameshika jezi ya everton pamoja na kocha wa timu hiyo Roberto Martinez katika uwanja wa mazoezi wa Everton finch farm na picha ya chini Barry akisaini mkataba huo na kocha martinez
No comments:
Post a Comment