shirikisho la soka la nchi za Africa mashariki na kati CECAFA limeiongeza timu ya azam FC katika orodha ya timu zitakazoshiriki michuano ya kagame cup kutokana na timu moja kutothibitisha ushiriki wake nao uongozi wa azam umethibitisha kushiriki michuano hiyo kikamilifu jambo ambalo limefurahiwa na uongozi wa CECAFA.picha kwa hisani ya bin zubeiry
No comments:
Post a Comment